1 Chronicles 19:6

6 aWaamoni walipotambua kuwa wamekuwa machukizo kwa Daudi, Hanuni na Waamoni wakatuma talanta 1,000
Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34.
za fedha ili kukodisha magari ya vita pamoja na waendeshaji wa hayo magari ya kukokotwa na farasi, kutoka Aramu-Naharaimu,
Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.
Aramu-Maaka na Soba.
Copyright information for SwhKC